Swahili tafsir

Kila sifa njema zinamstahikia Mwenyezi Mungu, Mola wa walimwengu wote, na rehema na amani zimshukie Mtume Muhammad SAW na watu wake na wafuasi wake wanaomfuata kwenye uongofu aliokuja nao mpaka Siku ya Kiyama.

swahili tafsir

Qurani Karimu ni Kitabu cha Mwenyezi Mungu na Wahyi wa mwisho alioteremshiwa Mtume Muhammad SAW kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu kutokana na giza la upotofu na ushirikina kuwatia kwenye mwangaza wa imani ya Mwenyezi Mungu Mmoja usiozimika nuru yake, na kwenye uongofu wa daima utakaowanawiria maisha yao na kuyafanya kuwa mazuri na ya furaha hapa duniani na kesho Akhera.

Mwenyezi Mungu, tangu alipoiteremsha hii Qurani aliwawafikia watu wengi kuisoma na kuihifadhi na kuifasiri na kuzishughulikia elimu zenye uhusiano na Kitabu hiki kitukufu, na Waislamu wa makabila mbali mbali waliingia kundini kuifasiri Qurani kwa lugha zao ili watu wao waweze kuifahamu na kuizingatia na kuitumia katika maisha yao, na leo alhamdulillahi kuna tafsiri za Qurani za lugha tofauti tofauti kote ulimwenguni. Kutokana na juhudi hii kubwa iliyofanywa na watu wa makabila mbali mbali, leo Waislamu hawana taabu ya kuifahamu Qurani ambayo ni desturi ya maisha yao na muongozo wa mambo yao yote hapa duniani.

Bidii hii imewasahilishia Waislamu wengi kuyafahamu Maneno ya Mola wao na kujaribu kufuata maelekezo yaliyokuwemo humo ya kufanya mema na kujiepusha na maovu na kuzingatia maonyo yaliyokuwemo kuhusu wale walioasi ambao mwishowe waliangamizwa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzwa na mamilioni ya watu wa Afrika Mashariki, kadhalika imepata hadhi ya kufasiriwa Qurani Karimu kwa lugha hio na leo alhamdulillahi kuna tafsiri mbili kamili kwa lugha ya Kiswahili za wanazuoni wa Afrika Mashariki, Sheikh Abdallah Saleh Farsy na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani waliotangulia mbele ya Mola wao, Mwenyezi Mungu awalaze mahali pema, amin.

Inshallah tafsiri hii itakuwa nyongeza ya juhudi ya wanazuoni waliotutangulia na Mwenyezi Mungu atatupa sote pamoja na wale wenye kunufaika na tafsiri hizi thawabu nyingi na ujira mkubwa kwa kuzisoma, amin. Kwa ufupi, tafsiri hii ya Qurani Karimu imefaidika sana kutokana na tafsiri za Maulamaa wakubwa wa tafsiri za Kiarabu na wafasiri wa Qurani wa lugha ya Kiingereza, na kadhalika wafasiri waliotangulia wa lugha ya Kiswahili, na kwa hivyo asione ajabu mwenye kuisoma akakuta baadhi ya tofauti katika tafsiri, kwani tangu wakati wa mwanzo, Masahaba walitafautiana katika kufasiri baadhi ya Aya, na hili ni wazi kwa yule mwenye kuzisoma tafsiri za Maulamaa wakubwa wa Kiarabu.

Tafsiri tulizozitumia kufasiri Qurani Karimu. Katika muda wa zaidi ya miaka kumi nilishawishika sana na fikra ya kuifasiri Qurani Karimu kwa lugha ya Kiswahili, si kwa kutokuwepo tafsiri hizi kwa lugha hio, lakini zaidi ni kujaribu kuzidi kufafanua yale yaliyokuwemo katika Kitabu hiki Kitukufu cha Mwenyezi Mungu ambacho daima kina hazina mpya zilizozikwa ndani yake zinazongojea Waislamu kuzitafuta na kuzidhihirisha.

Full pepa

Baada ya kuzisoma tafsiri kadha wa kadha za lugha ya Kiarabu na Kiingereza na Kiswahili na kuzipitia mara kwa mara katika masomo yangu ya lugha ya Kiarabu na Sharia, na katika juhudi yangu ya kufasiri baadhi ya vitabu vya Kiislamu, na kwa kuhudhuria kwangu darsa za tafsiri ya Qurani za wanazuoni mbali mbali, Unguja na Mombasa, nilizidi kukinaika na kuingiwa na hamu na hima na hamasa ya kutaka.

Mwenyezi Mungu aliyetukuka aliniwafikia kupata nafasi ya kusoma tafsiri mbali mbali ambazo zilinawirisha kuhusu Qurani Karimu na madhumuni yake na elimu zake tofauti tofauti na makusudio makubwa ya kuteremshwa Kitabu hiki Kitukufu kiwe ndio Kitabu cha mwisho cha uongofu wa wanadamu wote ulimwenguni.

Vitabu vya tafsiri vya Maulamaa wafuatao wa elimu hii vilinisaidia kuzidi kufahamu elimu hii na kuniwezesha na kunisahilishia kazi yangu ya kufasiri Qurani Karimu kwa lugha ya Kiswahili. Tunamuomba Mola wa walimwengu tawfiki na qabuli, amin.

Dibaji ya Qurani Karimu. Wallahu Waliyut-Tawfiq. The Holy Quran contains:. Tafsiri tulizozitumia kufasiri Qurani Karimu Katika muda wa zaidi ya miaka kumi nilishawishika sana na fikra ya kuifasiri Qurani Karimu kwa lugha ya Kiswahili, si kwa kutokuwepo tafsiri hizi kwa lugha hio, lakini zaidi ni kujaribu kuzidi kufafanua yale yaliyokuwemo katika Kitabu hiki Kitukufu cha Mwenyezi Mungu ambacho daima kina hazina mpya zilizozikwa ndani yake zinazongojea Waislamu kuzitafuta na kuzidhihirisha.

Swahili Translation. Tafsiri za Kiarabu.Desktop Version. I want to learn arabic so i can read the quran? Answer : Visit our new site www. Answer : Read it here Does the Quran say anything about the Mountains?

Answer : Read it here Does the Quran say anything about the Clouds? Answer : Read it here Does the Quran say anything about the the Cerubum? Answer : Listen to an Audio. Q Tafsir. Too many people today are telling us what the Quran of Allah is and what it means. All too often we are hearing from both Muslims and Non-Muslims; 'The Quran says this-or-that and the Quran means so-and-so' without giving reference to their actual source for meaning and understanding.

Many misconceptions, misquotes, misunderstandings and misrepresentations are tossed around in the media, news and public discussions about Islam and what it teaches. The solution is to go back to the original source in the original language as understood by the people who first heard the Quran from the lips of the Prophet Muhammad, peace be upon him, along with his own definitions and explanations.

The good news is the Quran exists today in its entirety, exactly as it at the time of the prophet, peace be upon him.

The prophet Muhammad, peace be upon him, heard the words directly from the Angel Gabriel Jibril in Arabic and these words were memorized by Muhammad, peace be upon him, and then recited to his companions, who then memorized and passed on these same words to their followers and this has continued to this very day.

The first word Angel Gabriel spoke to Muhammad, peace be upon him, was "Iqra", which comes from the same root for Quran, and it was a command to "Recite!

Immediately we see the importance of going back to the most authentic and original source - the Quran in Arabic - to better understand the meanings. Someone who writes Tafsir is a 'Mufassir Well known and respected for his keen memory and a highly regarded scholar of Tafsir commentary - Born AD. Memorized entire Quran, word-for-word along and memorized huge number of sayings and teachings Hadith of the prophet Muhammad, peace be upon him, along with sayings and commentary about Quran from Muhammad's companions, may Allah be pleased with them.

The Tafsir of Ibn Kathir is of the most respected and accepted explanations for the Quran and is the most widely used explanations in Arabic used today. The difficulty of translating Quran to English is quite another problem and not one to be taken lightly nor is it for the average translators to decide what is meant by the words of Almighty God. While we agree it is impossible to bring the exact meaning of everything from Quran to English, it is our intention to bring about a better understanding for non-Arab speakers at least a basic understanding of the meaning of the Quran for the English speaking readers.

Contact Form Sending your message.The Ahmadiyya Muslim Community has translated the Quran into over 70 languages of the world. The Lahore Ahmadiyya Movement has produced translations into at least 7 languages. The period of the late s and the early s saw an acceleration in the number of translations being produced by the Ahmadiyya movement. Some of the earliest translations were produced by Ahmadi Muslim scholars and today there are still many languages for which only translations authored by Ahmadi Muslims exist.

All translations are published alongside the Arabic text. The translations of the Quran authored by Ahmadi Muslim scholars always feature translated verses alongside the original Arabic text.

Before the translations are published, they are checked, scrutinized and proof-read by a wide array of individuals for errors. A similar procedure is undertaken when revised versions of the translations are produced. In particular, guidance is sought from the caliph of the Community with regards to textual and other linguistic difficulties.

Since the majority of the Quran translations have been made available from the s, most translations have sought advice from Caliph IV and Caliph V. The portions translations are maily "selected verses", but there are also some translations that just have translated some parts. The selected verses are created for celebrating the centenary of Ahmadiyya Muslim Community in From Wikipedia, the free encyclopedia.

List English translations by Ahmadis. Abrogation Biblical narratives Esoteric interpretation Hermeneutics Persons related to verses. Canberra, Australia: CityNews. Retrieved June 28, Islam International Publications.

November 3, Retrieved June 29, Categories : Ahmadiyya literature Quran translations. Namespaces Article Talk. Views Read Edit View history. By using this site, you agree to the Terms of Use and Privacy Policy. Translations List English translations by Ahmadis. Exegesis Abrogation Biblical narratives Esoteric interpretation Hermeneutics Persons related to verses mentioned by name Revelation.

Category Islam portal Wikipedia book. Part of a series on. Translation studies Skopos theory Translation project Translation criticism Dynamic and formal equivalence Contrastive linguistics.

Glocalization Internationalization and localization Language localisation Game localization Dub localization Website localization software localization.The prayer i. Al-Fatihah was called the Salah, because reciting it is a condition for the correctness of Salah - the prayer.

Al-Fatihah was also called Ash-Shifa' the Cure. Later, the Messenger of Allah said to a Companion.

Tafsir in Swahili

How did you know that it is a Ruqyah? Allah said. And indeed, We have bestowed upon you the seven Mathani seven repeatedly recited versesi. Surah Al-Fatihah Allah knows best. There is no disagreement over the view that Al-Fatihah contains seven Ayat. We will mention this subject again soon, if Allah wills, and in Him we trust.

The scholars say that Al-Fatihah consists of twenty-five words, and that it contains one hundred and thirteen letters.

swahili tafsir

Ibn Jarir said, "The Arabs call every comprehensive matter that contains several specific areas an Umm. For instance, they call the skin that surrounds the brain, Umm Ar-Ra's.

They also call the flag that gathers the ranks of the army an Umm. It was also said that the earth was made starting from Makkah. I was praying. O you who believe!

Answer Allah by obeying Him and His Messenger when he calls you to that which gives you life He then said. I will teach you the greatest Surah in the Qur'an before you leave the Masjid.Account Options Sign in. Top charts. New releases.

Add to Wishlist. Translate the description back to Swahili Translate.

swahili tafsir

Kitabu hiki kwao ni tofauti kabisa na maandiko ya vitabu vya dini nyingine kwa maana hicho kinaaminika kwamba kimeandikwa moja kwa moja na Mwenyezi Mungu, kupitia mtume wake wa mwisho, Muhammad. Lugha na tafsiri Imeandikwa na kusomwa kwa lugha ya Kiarabu pekee kwa zaidi ya miaka 1, Kadiri ya QuraniMungu alimuambia Muhammad: "Na namna hivi tumekufunulia Qurani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Makka na walio pembeni mwake" Lakini, kwa vile leo Waislamu walio wengi ulimwenguni hawajui Kiarabu, maana halisi ya Qur'an hutolewa kwa lugha nyingine, hivyo kupelekea wasomaji kuelewa vyema yale maneno ya Kiarabu kwenye Qur'an yana maana gani.

Vitabu hivyo ni kama kamusi kwa ajili ya Qur'an - hawavisomi hivi kama moja ya sehemu ya Quran tukufu na Waislam, ili kuwa badala ya Quran ya Kiarabu. Waislamu wengi wanaamini kwamba tafsiri ile siyo ya Qur'an tukufu na wala siyo ya kweli; ni kopi ya Kiarabu tu iliyotolewa kwenye Qur'an ya kweli. Qur'an tukufu haikuwa kitabu cha maandiko wakati wa uhai wa mtume Muhammad; iliwekwa kwa mawasiliano ya kimdomo tu.

Bimaana, watu walihifadhi kichwani.

Google play account refund

Mtume labda hakuwa anajua kusoma wala kuandika, lakini kwa mujibu wa Waislamu, swahaba wake Abu Bekr alikuwa akiandika maandiko yale juu ya kitu fulani wakati huo mtume Muhammad yu hai. Pale Abu Bekr alipokuja kuwa khalifa, ameileta Qur'an na kuwa kitabu kitakatifu.

Uthman, ambaye ni khalifa wa tatu, ameondoa vipengele ambavyo vilikuwa havihusiani na Qur'an tukufu. Kila sura ina namba tofauti ya mistari.

Kwa mujibu wa mafunzo ya Kiislam, sura 86 kati ya hizi zimeshuka mjini Makka, sura 24 kati ya hizi zimeshuka mjini Madina. Dini hizi pamoja na Uislamu huitwa za Abrahamu kwa sababu ya mahusiano haya.

Kuna baadhi ya kurasa za Qu'ran zinazoelezea habari za mambo ya watu wa katika Biblia. Hata hivyo, kuna tofauti za muhimu kabisa baina ya Uislamu na toleo la Biblia katika kuelezea habari za aina moja. Kwa mfano, Qu'ran tukufu inaelezea kwamba Yesu Kristo si Mwana wa Mungu, kama jinsi Wakristo wanavyoamini; kwa Waislamu, alikuwa nabii tu, anayeheshimiwa kwa jina la Isa bin Mariamu.

Qtextcursor example

Uislamu unafundisha kwamba haya yanatokea kwa sababu maandiko ya awali ya Biblia yamepotea na hivyo kuna baadhi ya watu wameyabadilisha. Lakini nje ya Qu'ran hakuna uthibitisho wa fundisho hilo. Qur'an is considered by Muslims as the "Word of Allah God. Language and Translation Written and read in Arabic alone for more than 1, years. As the Qur'an 8God told Muhammad: "And thus have We revealed the Quran in Arabic to warn people of Mecca and those around her" But, since today the majority of the world's Muslims do not understand Arabic, the real meaning of the Qur'an are provided in other languages, so that readers can better understand the Arabic words on the Qur'an mean.

These books are like dictionaries to the Qur'an - do not read this as part of the Holy Quran and Muslims, so that instead of the Quran in Arabic.

Many Muslims believe that these translations are not the Qur'an and not true; Arabic is only released copies of the Qur'an true. Muslims believe that the Qur'an Prophet Muhammad was given by the angel Gabriel in the cave of Mount Hira, for a period of more than twenty-three years until his death ilipomfikia.

Fatal car accident south dakota yesterday

The Qur'an is not a book of scripture during the life of the Prophet Muhammad; kimdomo was made to contact only. Brief written records are stored on the head. The prophet did not he know how to read or write, but according to Islam, his companion Abu Bekr was writing writing about something when Muhammad was alive.

When Abu Bekr came to be the caliph, has brought the Qur'an to be the holy book. Uthman, who is the third Caliph, has removed features that were not specifically related to the Qur'an. Each frame has a different number of lines. According to Islamic learning, chapter 86 of these have declined in Mecca, chapter 24 of these have declined in Medina. These religions include Islam called Abraham because of these relationships. There are some pages that describe Qu'ran concerning the people of the Bible.

However, there are very important differences between Islam and the version of the Bible in describing the story of the same type.The following is a list of tafsir works. Tafsir is a body of commentary and explication, aimed at explaining the meanings of the Qur'anthe central religious text of Islam. Tafsir habibi can broadly be categorized by its affiliated Islamic schools and branches and the era it was published, classic or modern. Modern tafsirs listed here are the work of later than the 20th century.

From Wikipedia, the free encyclopedia. Quran Text.

Surat Al-Jin (Tafsiri ya Kiswahili)

List English translations by Ahmadis. Abrogation Biblical narratives Esoteric interpretation Hermeneutics Persons related to verses. Bearman, Th. Bianquis, C. Bosworth, E. World Digital Library. Retrieved 1 March Banglapedia: National Encyclopedia of Bangladesh Second ed. Asiatic Society of Bangladesh.

Retrieved 21 March Archived from the original on Retrieved In John L. Oxford: Oxford University Press. Abingdon-on-Thames : Routledge Middle East Quarterly. Retrieved 16 January Tafsir Novin? Categories : Tafsir works Quran-related lists Religious bibliographies. Hidden categories: CS1 Bengali-language sources bn.

Namespaces Article Talk. Views Read Edit View history.

Translation and Tafsir of the Quran in Swahili

By using this site, you agree to the Terms of Use and Privacy Policy. Translations List English translations by Ahmadis. Exegesis Abrogation Biblical narratives Esoteric interpretation Hermeneutics Persons related to verses mentioned by name Revelation.

Category Islam portal Wikipedia book. List of tafsir works.Account Options Sign in. Top charts. New releases. Add to Wishlist. It is widely regarded as the finest piece of literature in the Arabic language. The Quran is divided into chapters called suras, which are then divided into verses, called ayahs. Muslims believe the Quran was verbally revealed by God to Muhammad through the angel Gabriel Jibrilgradually over a period of approximately 23 years, beginning on 22 December CE, when Muhammad was 40, and concluding inthe year of his death.

Muslims regard the Quran as the most important miracle of Muhammad, a proof of his prophethood, and the culmination of a series of divine messages that started with the messages revealed to Adam and ended with Muhammad. The word "Quran" occurs some 70 times in the text of the Quran, although different names and words are also said to be references to the Quran.

According to the traditional narrative, several companions of Muhammad served as scribes and were responsible for writing down the revelations. Shortly after Muhammad's death, the Quran was compiled by his companions who wrote down and memorized parts of it.

These codices had differences that motivated the Caliph Uthman to establish a standard version now known as Uthman's codex, which is generally considered the archetype of the Quran known today. There are, however, variant readings, with mostly minor differences in meaning. The Quran assumes familiarity with major narratives recounted in the Biblical scriptures.

swahili tafsir

It summarizes some, dwells at length on others and, in some cases, presents alternative accounts and interpretations of events. The Quran describes itself as a book of guidance.

It sometimes offers detailed accounts of specific historical events, and it often emphasizes the moral significance of an event over its narrative sequence. The Quran is used along with the hadith to interpret sharia law.

During prayers, the Quran is recited only in Arabic. Someone who has memorized the entire Quran is called a hafiz. Some Muslims read Quranic ayah verse with elocution, which is often called tajwid. During the month of Ramadan, Muslims typically complete the recitation of the whole Quran during tarawih prayers.

In order to extrapolate the meaning of a particular Quranic verse, most Muslims rely on the tafsir.

A9g development board arduino

Reviews Review Policy. View details. Flag as inappropriate. Visit website. Privacy Policy. Edson Deda Tel: email: edsondeda gmail. More by Edson Deda See more. Audio Bible MP3. Edson Deda.


One thought on “Swahili tafsir

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *